Connect with us

Burudani

Justin Bieber akasirishwa na shabiki aliyerusha kofia akiwa on stage

ATLANTIC CITY, NJ - JULY 15:  Justin Bieber performs at Boardwalk Hall Arena on July 15, 2016 in Atlantic City, New Jersey.  (Photo by Jeff Kravitz/FilmMagic)

(Photo by Jeff Kravitz/FilmMagic)

Akiwa katika ziara ya album yake ya Purpose huko mjini New Jersey usiku wa Ijumaa, Bieber alionekana kukasirishwa na kitendo cha shabiki mmoja kurusha kofia yake stejini wakati akiwa anatoa maneno machache kwa umati uliokusanyika hapo kumshuhudia.

Bieber alisikika akisema, “Take this moment to listen and try not to give me a hat or whatever you’re trying to throw onto the stage right now, because I probably don’t want that s–t”.

Hata hivyo Bieber aliomba radhi kwa kuwa mkali kwa shabiki wake na kusema kitendo cha kurusha kofia hiyo kilimchanganya wakati akijaribu kuongea kitu muhimu kwa mashabiki wake.

Tazama video…

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Burudani

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top