Connect with us
Alikiba // tiririkablog.com

Bongo

Alikiba apata tuzo ya MTV EMA iliyotolewa kimakosa kwa Wizkid

alikiba1

MTV EMA hatimaye wamempokonya tuzo ya Best African Act mwanamuziki kutoka Nigeria, Wizkid na kumpa aliyestahili Alikiba kutoka Tanzania mara baada ya Watanzania kutoa malalamiko yao.

Tuzo hiyo ilileta mzozo kutokana na Alikiba kuongoza katika kura lakini waandaji hao wakampa Wizkid katika sherehe iliyofanyika Rotterdam, Uholanzi.

Hit maker huyo wa Kajiandae alisema Jumatatu kuwa alikuwa akisubiri mawasiliano kutoka kwa waandaji wa tuzo na Jumatano MTV Base East Africa wakatoa tangazo rasmi.

 

Continue Reading

More in Bongo

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top