Connect with us

Mastaa

Flavour ahahidi kuachia albamu yake ya tano hivi karibuni

Flavour kutoka Nigeria akitumbuiza jukwaani

Mwanamuziki anayependwa kutoka nchini Nigeria Flavour azungumzia kuhusu mipango yake kimuziki pamoja na matarajio yake kuachia albamu mpya mwaka huu.

Staa huyo wa ‘Ada Ada’ ameweka wazi kuwa ataachia albamu yake ya tano ndani ya miezi michache ijayo, akiongea na HipTV Flavour pia aliongelea kuhusu muda wake katika biashara ya muziki na kusema ana mipango ya kuwemo katika ramani ya tasnia hiyo kwa muda mrefu zaidi.

Mwanamuziki kutoka Nigeria Flavour

“It’s all about hard work and God, I just wanna be a musician, I don’t wanna be an artist, it’s gonna be a long time, I have prepared myself, and know what it’s going to take for me to get there, my album comes out in two months.”

Continue Reading

More in Mastaa

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top