Connect with us
Kendrick Lamar katika video ya HUMBLE

Burudani

Kendrick Lamar ataja tracklist ya albamu mpya, ipo collabo na Rihanna

Kendrick Lamar katika video ya HUMBLE

Kendrick Lamar ameamua kutoa maelezo muhimu kuhusu albamu yake ikiwemo jina, orodha ya majina ya nyimbo na wasanii aliowashirikisha, pamoja na cover art.

Lamar ametaja jina la albamu kuwa DAMN. na itaachiwa ifikapo tarehe 14 April.

Albamu itajumuisha nyimbo ya HUMBLE. pia na collaborations za Rihanna pamoja na bendi kongwe ya U2. Kendrick Lamar pia ameonesha cover art ya albamu hiyo katika ukurasa wake wa Instagram.

Cover art ya albamu ya Kendrick Lamar, DAMN

Orodha kamili ya nyimbo ndani ya DAMN. ni kama inavyoonekana hapo chini.

1. “Blood”
2. “DNA”
3. “Yah”
4. “Element”
5. “Feel”
6. “Loyalty” feat, Rihanna
7. “Pride”
8. “Humble”
9. “Lust”
10. “Love”
11. “xxx” feat, U2
12. “Fear”
13. “God”
14. “Duckworth”

Continue Reading

More in Burudani

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top