Connect with us
Kevin Hart na Eniko Parrish

Mastaa

Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish watarajia kupata mtoto wa kwanza

Kevin Hart na mkewe, mwanamitindo Eniko Parrish, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza na waliamua kuchagua siku maalumu kuweka wazi habari hiyo.

Siku ya Jumapili ilikuwa siku ya Wamama Duniani na wawili hao waliweka wazi kuwa wanatarajia kuongeza mtoto katika familia. Mtoto huyo atakuwa wa kwanza kwa wawili hao, lakini tayari Hart ni baba wa watoto wawili Heaven, 12, na Hendrix, 9, ambao walizaliwa katika ndoa yake ya mwanzo na aliyekuwa mwenza wake Torrei Hart.

Hart kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika, “Celebrating Mother’s Day with my beautiful wife. We are laughing at the fact that this time next year we will be celebrating her 1st actual Mother’s Day. #Harts #Blessed”

Continue Reading

More in Mastaa

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top