Connect with us
Game of Thrones

Filamu & TV

Wadukuzi watishia kuvujisha episodes zilizobaki za Game of Thrones

Kituo cha televisheni HBO kimeripotiwa kukumbwa na shambulio la mtandao kutoka kwa wadukuzi waliotishia kuziachia episodes zinazokuja za show maarufu Game of Thrones.

Mwenyekiti wa kituo hicho Richard Plepler ameelezea shambulio hilo kuwa ni la kiuharibifu na kutisha zaidi katika kituo cha HBO.

Tovuti ya Entertainment Weekly imesema wadukuzi hao tayari wameshavujisha data za show zingine mbalimbali ikiwemo Ballers na Room 104 na wametishia kuvujisha nyingine zaidi.

Wadukuzi hao waliwasiliana na waandishi kwa njia ya barua pepe hapo Jumapili tarehe 30 Julai, iliyosomeka:

“Hi to all mankind. The greatest leak of cyber space era is happening. What’s its name? Oh, I forget to tell. It’s HBO and Game of Thrones……!!!!!! You are lucky to be the first pioneers to witness and download the leak. Enjoy it & spread the words. Whoever spreads well, we will have an interview with him. HBO is falling.”

Continue Reading

More in Filamu & TV

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top