Connect with us

Filamu & TV

Marvel Studio yatamanisha watu kwa picha mpya za filamu ya Black Panther

Marvel Studio yatamanisha watu kwa picha mpya za filamu ya Black Panther

Marvel Studio imewatia hamu watu wanaoisubiri filamu ya Black Panther kwa kuachia picha kali mpya za washiriki katika filamu hiyo.

Wiki chache zilizopita Marvel pia waliachia trailer rasmi la filamu hiyo ambayo itawasili hapo mwakani, mnamo Februari 16.

Picha hizo za Black Panther zinaonesha washiriki wakuu katika filamu wakivalia mavazi rasmi kulingana na uhusika wao.

Chadwick Boseman as T’Challa / Black Panther

Chadwick Boseman kama T’Challa katika filamu.

Michael B. Jordan as Erik Killmonger

Michael B. Jordan kama Erik Killmonger

Lupita Nyong’o as Nakia

Lupita Nyong’o kama Nakia

Angela Bassett as Ramonda

Angela Bassett kama Ramonda

Letitia Wright as Shuri

Daniel Kaluuya as W’Kabi

Daniel Kaluuya kama W’Kabi

Continue Reading

More in Filamu & TV

Tufuate Facebook

Trending

Advertisement
To Top