Connect with us

Cyprian Lubuva

Cyprian Lubuva ni muanzilishi na muandishi wa maudhui yote katika blogu ya Tiririka. Licha ya kuwa na taaluma ya masuala ya Teknolojia ya Habari, Cyprian amejikuta pia akiwa na shauku katika masuala ya uandishi. Anapenda michezo na kujifunza vitu vipya kila siku.
To Top